TANGA CEMENT YASAIDIA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA SHULE MKOANI SINGIDA
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa
Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto) akizungumza katika hafla
ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye
thamani ya shs milioni 7,965,000 kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu ya elimu
mkoani Singida. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo Pongwe jijini
Tanga jana. Wa pili kushoto ni Meneja Kiwanda wa kampuni hiyo, Mhandisi Ben
Leman a Mbunge wa Viti Maalumu wa Singida, Aysharose Mattembe na wafanyakazi wa
Tanga Cement.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga
Cement, Mhandisi, Ben Lema (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Viti
Maalum Singida Aysharose Mattembe katika hafla ambayo kampuni hiyo
ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000
kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa
Singida Halfa hiyo ilifanyika kiwandani hapo, Tanga jana. Wa pili kulia
ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor.
Meneja Kiwanda wa
Kampuni ya Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema (kushoto), akikabidhi sehemu ya
msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida,
Aysharose Mattembe, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa
mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia
ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida. Hafla
hiyo ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa
kampuni hiyo.
Meneja Mahusiano na
Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto)
akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti
Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, katika hafla ambayo kampuni
hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000
kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa
Singida. Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga jana.
Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo.
Meneja Usambazaji wa
Kampuni ya Tanga Cement, Samuel Shoo (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa
mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum singida Aysharose
Mattembe, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya
saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa
pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida Hafla hiyo ilifanyika
kiwandani hapo pongwe jijini Tanga jana. Wa tatu kushoto ni Meneja
Kiwanda wa Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema na kulia ni Meneja Mahusiano na
Mawasiliano ya Nje wa kampuni hiyo, Bi. Mtanga Noor pamoja na baadhi ya
wafanyakazi wenzao.
Mmoja wa wahasibu wa Kampuni ya Tanga Cement, Kalutu Juma,
akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti
Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (wa pili kulia), katika hafla
ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya
shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za
walimu katika mkoa huo. Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe,
Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo.
No comments