WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA, ZANZIBAR.
Mkuu
wa Zantel, Zanzibar Mohamed Mussa Baucha (kulia) akikabidhi vifaa vya kufanyia
usafi kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dk.
Msafiri Marijani mara baada ya kumaliza zoezi la kufanya usafi katika eneo la
hospitali hiyo iliyopo Zanzibar hivi karibuni. Zantel ilikabidhi vifaa vyenye
jumala ya thamani ya Sh.400, 000 hospitalini hapo.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel wakishiriki kufanya usafi
katika hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, zoezi ambalo lilifanyika hivi
karibuni mjini Zanzibar. Tofauti na kufanya usafi, Zantel ilikabidhi vifaa vya
usafi ikiwemo mifagio, ndoo na mafyekeo vyenye jumla ya thamani ya Sh.
400,000/= kwa ajili ya kuimarisha mfumo wa usafi na kuzuia maambukizi kwa watu
wanaofika hospitalini hapo.
No comments