Uongozi wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Demokrsia na Maendeleo (CHADEMA) Kigogo B wakabidhi vifaa vya michezo
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Pugu,Lucas Maira (kushoto) ambaye ni mgeni rasmi akipeana mikono na Shabiki wa Timu ya mpira wa miguu Super Eagle Sports Club,Sadiki Haruna baada ya
kuwasili katika viwanja vya timu hiyo kwa ajili ya kuangalia mechi pamoja na
kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu hiyo iliyopo kata ya Kigogo B kutoka kwa
Kamati ya Utendaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la
Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Wachezaji wa
Timu ya Super Eagle Sports Club,Majidi Shabani (kulia) na George Willium
wakichuana vikali katika mechi ya kirafiki ya hafla ya kukabidhiwa vifaa vya
michezo kutoka kwa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa
Timu ya Super Eagle Sports Club,Halidi Hamisi akijaribu kumtoka mchezaji wa
timu hiyohiyo,George Wilium katika mechi ya kirafiki ya hafla ya kukabidhiwa
vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa
Timu ya Super Eagle Sports Club,Ramadhani Hussein akijaribu kumtoka mchezaji wa
timu hiyohiyo,Fidelis katika mechi ya kirafiki ya hafla ya kukabidhiwa vifaa
vya michezo kutoka kwa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es
Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Abdallah Mlacha
akizungumza jambo na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu ya mpira wa miguu
Super Eagle Sports Club katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa
Kamati Utendaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B
jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B kata ya
Pugu,Jacob Ayo akizungumza na viongozi wa chama hicho pamoja wachezaji wa timu
ya mpira wa miguu Super Eagle Sports Club katika hafla ya kukabidhi vifaa vya
michezo kutoka kwa Kamati Utendaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es
Salaam jana.
Msemaji wa Timu
ya mpira wa miguu Super Eagle Sports Club,Elias Moris akisoma risala kwa
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika hafla ya
kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati Utendaji wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Mwenezi wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kitunda,Nelson Murro akizungumza
na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu ya mpira wa miguu Super Eagle Sports
Club katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati Utendaji wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Katibu wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Chanika,Charles sangiwa akizungumza
na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu ya mpira wa miguu Super Eagle Sports
Club katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati Utendaji wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Pugu,Lucas Maira (kulia)
akipokea risala kutoka kwa Msemaji wa Timu ya Super Eagle Sports Club,Elias Moris
katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati Utendaji wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Pugu,Lucas Maira akizungumza
na viongozi wa chama hicho pamoja wachezaji wa timu ya mpira wa miguu Super
Eagle Sports Club katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati
Utendaji wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya
wachezaji pamoja na mashabiki wa Timu ya Super Eagle Sports Club wakisikiliza kwa
makini mada zitolewazo na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati Utendaji wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Pugu,Lucas Maira (wapili
kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo
B,Jacob Ayo wakikabidhi mipira kwa
Wawakilishi wa timu ya mpira wa miguu Super Eagle Sports Club kutoka kwa Kamati Utendaji wa Chama hicho jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Mwenezi
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kipunguni,Ally Hassani akizungumza
na wachezaji pamoja na mashabiki wa timu ya mpira wa miguu Super Eagle Sports
Club katika hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kutoka kwa Kamati Utendaji wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tawi la Kigogo B jijini Dar es Salaam jana.
Viongozi wa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Pugu (Kulia) wakipeana mikono na wachezaji wa timu
ya mpira wa miguu Super Eagle Sports Club baada ya kukabidhi mipira.
Viongozi wa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Pugu wakiwa katika picha ya
pamoja na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu Super Eagle Sports Club baada ya
kukabidhi mipira.
Viongozi wa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Pugu wakiwa katika picha ya
pamoja.
Mwenyekiti
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kata ya Pugu,Beatrice
Dibogo (kushoto) akizungumza jambo na akina mama wa tawi la Kigogo B baada ya
kukabidhi mipira kwa Timu ya mpira wa miguu Super Eagle Sports Club jijini Dar
Es Salaam jana.
Meneja
Msaidizi wa Timu ya Super Eagle Sports Club (Kushoto) akizungumza jambo na Viongozi
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Pugu.
Na mwandishi wetu
Uongozi wa Kamati ya
Utendaji wa Chama cha Demokrsia na Maendeleo (CHADEMA) Kigogo B ukiongozwa na
Kamanda Jacob Ayo umekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya mpira wa miguu ya
Tawi la Kigogofresh iitwayo Super Eagle sports Club
Uongozi wa Kata
Chadema Kigogo B" wamekabidhi timu hiyo mipira miwili pamoja na vifaa vya
uenezi vya Chadema ambavyo ni Bendera, Skafu pamoja na kadi
Viongozi walioshiriki
katika zoezi hilo la kukieneza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Kigogo B" ni Mwenezi Chadema Kata ya Kitunda,Kamanda Nelson Muro
a.k.a Diblo, Katibu Mwenezi Kata ya Kipunguni,Kamanda Ally Manyata,
Katibu wa Chadema Kata ya Chanika Kamanda Charles Sangiwa, Mwenyekiti wa
Chadema Tawi la Kinyamwezi Kamanda Lucas Manyaki,Mwenyekiti wa Chadema Kata ya
Pugu ambae ndie aliekuwa mgeni rasmi kwenye shughuli hiyo ya uenezi wa Chama
pamoja Makamanda wengine wengi toka Kata ya Chanika, Pugu, na Pugu Station.
No comments