MAADHIMISHO YA KUZALIWA CCM YALIVYOFANA KITUNDA
Katibu wa NEC,Itikadi,Siasa na Uenezi wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) taifa,Hamphrey Polepole (katikati) akisalimiana na Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa wa Mogo Iliyopo Manispaa ya Ilala,George Mtambalike katika
hafla ya Mwendelezo wa Maadhimisho ya Miaka (41) ya kuzaliwa kwa Chama Cha
Mapinduzi yaliyofanyika katika kata ya Kitunda jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
Mwenyekiti wa Chama Wilaya ya Ilala,Ubaya Chuma.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala,Joyce
Mkaugala akizungumza jambo.
Katibu wa NEC,Itikadi,Siasa na Uenezi wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) taifa,Hamphrey Polepole akizungumza jambo na makada pamoja na
wanachama wa chama hicho katika kikao cha ndani cha Mwendelezo wa Maadhimisho
ya Miaka (41) ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika katika kata ya
Kitunda jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Wilaya ya
Ilala,Ubaya Chuma.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi,Agathon
Simba Ulanga akizungumza na makada pamoja na wanachama.
Katibu Msaidizi Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Mstaafu,Mujengi Gwao akizungumza jambo katika maadhimisho.
Baadhi ya Makada pamoja na wanachama wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) wakisikiliza kwa makini mada zitolewazo na Viongozi wao katika
kikao cha ndani cha Mwendelezo wa Maadhimisho ya Miaka (41) ya kuzaliwa kwa
Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika katika kata ya Kitunda jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC,Itikadi,Siasa na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) taifa,Hamphrey Polepole akiwa katika picha ya pamoja na wakada pamoja na wanachama wa Chama cha Mapinduzi.
Katibu wa NEC,Itikadi,Siasa na Uenezi wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) taifa,Hamphrey Polepole (wapili kulia) akisalimiana na Makada
pamoja na wanachama wa chama hicho baada ya kuwasili katika hafla ya Mwendelezo
wa Maadhimisho ya Miaka (41) ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika
katika kata ya Kitunda jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Chama Wilaya
ya Ilala,Ubaya Chuma.
No comments