WAKAZI WA VINGUNGUTI NA MNYAMANI WAZUNGUNGUMZA NA MWEKEZAJI WA PMM
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Mawakala wa Bandari Kavu (PMM),Dkt.Judith Mhina(katikati) akizungumza na wakazi
wa Vingunguti na Mnyamani jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wa wakazi
hao kutaka kujua hatma ya malipo ya nyumba 4000 ambazo zilizofanyiwa tathmini
na Mwekezaji wa huyo uliofanyika katika Viwanja vya Sinai.
Meneja Mradi wa Kampuni ya Mawakala
wa Bandari Kavu (PMM),Deogratius Chacha (kushoto) akizungumza na wakazi wa
Vingunguti na Mnyamani jijini Dar es Salaam jana katika mkutano wa wakazi hao
kutaka kujua hatma ya malipo ya nyumba 4000 ambazo zilizofanyiwa tathmini na
Mwekezaji wa PMM baada ya kutoa ahadi zisizo tekelezeka. Mkutano huo ulifanyika
katika Viwanja vya Sinai jijini.
Diwani wa Kata ya Mnyamani, Shukuru
Dege akizungumza na wakazi wa Vingunguti na Mnyamani katika mkutano wa wakazi
hao kutaka kujua hatma ya malipo ya
nyumba 4000 ambazo zimefanyiwa tathmini na Mwekezaji wa Kampuni ya Mawakala wa
Bandari Kavu (PMM) uliofanyika katika Viwanja vya Sinai jijini Dar es Salaam
jana.
Baadhi ya wakazi wa Vingunguti na
Mnyamani wakisikiliza kwa Makini mada zitolewazo na Mwekezaji wa Kampuni ya
Mawakala wa Bandari Kavu (PMM) pamoja na Viongozi wao katika Mkutano wa Wakazi
hao kutaka kujua hatma ya malipo ya nyumba 4000 ambazo zimefanyiwa tathmini na
Mwekezaji wa Kampuni hiyo.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Sinai
jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa
Vingunguti Faru,Simba Said akizungumza na wakazi wa Vingunguti na Mnyamani
katika Mkutano wa wakazi hao kutaka kujua
hatma ya malipo ya nyumba 4000 ambazo zilizofanyiwa tathmini na
Mwekezaji wa Kampuni ya Mawakala wa Bandari Kavu (PMM) baada ya kupewa ahadi
zisizotekelezeka.Mkutano huo ulifanyika katika Viwanja vya Sinai jijini Dar es
Salaam jana.
Mkazi wa Mkazi wa Vingunguti Faru,Ally
Saidi akichangia hoja katika Mkutano huo.
Wakazi wa wakazi wa Vingunguti na
Mnyamani wakiandamana baada ya kukosa kuelewana na Mwekezaji wa Kampuni ya
Mawakala wa Bandari Kavu (PMM).
No comments