WAITARA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA UKAGUZI WA MIUNDO MBINU JIMBONI
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (watatu
kushoto) akionyeshwa ubovu wa kivuko cha
Vuoni na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa
Gongo la mboto,Bakari Shingo katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua
miundo mbinu iliyoharibika huku akiwa ameongozana na Wahandisi wa Mawakala wa
barabara za mijini na vijijini (TARURA) mkoa wa Dar es Salaam na wilaya ya IIala
jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kushoto) na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za
mijini na vijijini (TARURA) wa mkoa Dar es Salaam wakiangalia daraja la
Magomeni kata ya Buyuni katika mwendelezo wa ziara ya ukaguzi wa miundo mbinu
iliyoharibika jijini jana.
Mbunge wa jimbo la
Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kulia) akiwa pamoja na Wahandisi wa Mawakala wa
barabara za mijini na vijijini (TARURA) wa mkoa Dar es Salaam katika daraja la
Ulongoni B katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua miundo mbinu
iliyoharibika jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara akiwa pamoja
na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA) wa mkoa Dar
es Salaam katika daraja la Ulongoni A katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua
miundo mbinu iliyoharibika jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (wapili kushoto)
akiwa pamoja na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za mijini na vijijini
(TARURA) wa mkoa Dar es Salaam katika daraja la Magenge kati ya Mtaa wa Neburu
A na Nguvu Mpya kata ya Buyuni katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua
miundo mbinu iliyoharibika jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kushoto)
akiwa pamoja na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za mijini na vijijini
(TARURA) wa mkoa Dar es Salaam katika kivuko cha Ndevu mbili mtaa wa Kimwani
Zingiziwa katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua miundo mbinu iliyoharibika
jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kushoto)
akiwa katika ukaguzi wa Barabara ya Shule ya
Sekondari Nyeburu.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (wapili kulia)
akiwa katika ukaguzi wa Barabara ya Taliani.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (wapili kulia)
akiwa katika ukaguzi wa kivuko cha Kimwani Kinyamwezi kata ya Pugu.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (katikati)
akiwa katika ukaguzi wa Barabara ya Shule ya msingi Kigogo freshi.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kushoto)
akiwa katika ukaguzi wa Barabara ya Kichangani kata ya Pugu Station.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kulia) akiwa
pamoja na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA) wa mkoa
Dar es Salaam daraja la Pugu Bangulo katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua
miundo mbinu iliyoharibika jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kushoto)
akiwa katika ukaguzi wa daraja la Ulongoni B.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara akiwa katika
Zahanati ya mama na mtoto kupokea kero katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua
miundo mbinu iliyoharibika jijini Dar es Salaam jana .
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kulia) akiwa
pamoja na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA) wa mkoa
Dar es Salaam katika kivuko cha UlongoniB katika mwendelezo wa ziara yake ya
kukagua miundo mbinu iliyoharibika jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kushoto)
akiwa pamoja na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za mijini na vijijini
(TARURA) wa mkoa Dar es Salaam katika kivuko cha Ulongoni A katika mwendelezo
wa ziara yake ya kukagua miundo mbinu iliyoharibika jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara ( Wapili
kushoto) akipata maelezo ya ujenzi wa barabara ya za lami kata ya Gongo la mboto
katika mwendelezo wa ziara yake ya kukagua miundo mbinu iliyoharibika Dar es
Salaam jana.
Mbunge wa jimbo la Ukonga,Mhe.Mwita Waitara (kulia) akiwa
pamoja na Wahandisi wa Mawakala wa barabara za mijini na vijijini (TARURA) wa mkoa
Dar es Salaam katika eneo leney uhitaji wa kivuko mtaa wa Zogoali kata ya Zingiziwa.Katikati
ni Diwani wa kata hiyo,Husein Togoro.
Na mwandishi wetu
Jana Mbunge wa Ukonga Mhe.Mwita Waitara alikuwa
na mwendelezo wa ziara yake ya kukagua ubovu wa miundo mbinu ya jimboni akiwa
amewaalika Wahandisi wa Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa
Dar es Salaam Kata zilizofikiwa na ziara hiyo jana ni Kata tano (5) ambazo ni Gongo la mboto,
Pugu-Station, Pugu Kajiungeni, Buyuni na Zingiziwa
Kata ya Gongo la mboto ziara ya Mbunge wa
Ukonga na Wahandisi wa TARURA Mkoa na Wilaya ilifika kwenye mitaa minne (4)
ambayo ni mtaa wa Gongo la mboto, Ulongoni A" Ulongoni B" na mtaa wa
Guruka Kwalala
Kata ya
Pugu-Station ziara ya Mbunge na Wahandisi wa TARURA ilifika kwenye mitaa miwili
ambayo ni Bangulo na mtaa wa Kichangani
Kata ya Pugu ziara ya
Mbunge na Wahandisi wa TARURA ilifika kwenye mitaa mitatu (3) ambayo ni mtaa wa
Bombani, Kigogofresh A" na mtaa wa Kinyamwezi
Kata ya Buyuni ziara
ya Mbunge wa Ukonga na Wahandisi wa TARURA ilifika kwenye mitaa miwili ambayo
ni Taliani na mtaa wa Nyeburu kwenye daraja la Kitongoji cha Magomeni na Kivuko
cha Shele ya Sekondari Nyeburu.
Kata ya Zingiziwa
mitaa iliyofikiwa na ziara ya Mbunge na Wahandisi wa TARURA ni mitaa mitatu ambayo
ni Mtaa wa Kimwani, Zogoali na Rubakaya kwenye kivuko kinachounganisha mtaa wa
Rubakaya na mtaa wa Ngobedi
Vipaumbele
vilivyochukuliwa na ziara hiyo Mbunge pamoja na Wahandisi wa Mkoa Dar es Salaam na
wa Wilaya ya Ilala ni Madaraja na Vivuko kwenye mitaa yote iliyofikiwa na ugeni
huo.
No comments