Vijana wahitimu wa vyuo kunufaika na programu ya Wajibika ya Benki ya NBC
Mmoja wa waratibu wa programu
ya Wajibika wa Benki ya NBC, Imani Sinkonde (kushoto), akizungumza na
baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana
wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira
rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa programu
ya Wajibika wa Benki ya NBC, Loveness Mseke (kushoto), akizungumza na
baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana
wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la ajira
rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa
programu ya Wajibika wa Benki ya NBC,Rahma Suleiman (kushoto),
akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), jijini
Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la
kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia
katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa programu
ya Wajibika wa Benki ya NBC, Emanuel Agostino (kulia), akizungumza na
baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia na Uongozi Kilimanjaro jijini Dar
es Salaam hivi karibuni kuhusu Programu ya Wajibika yenye lengo la
kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia
katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja wa waratibu wa
programu ya Wajibika wa Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kulia),
akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia na Uongozi
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu Programu ya
Wajibika yenye lengo la kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za
elimu ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
No comments