TANGA CEMENT YAIPIGA JEKI SEKONDARI YA NYAMATONGO MKOANI MWANZA
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Lawrence
Masha akishikana mikono na Mbunge wa zamani wa Geita, Dk. Fortunatus Masha
kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mwenyekiti wa Halmashauri
ya Wilaya ya Sengerema, Yanga Makaga (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo
kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana ya Shule ya Sekondari Nyamatongo iliyo
wilayani humo mkoani Mwanza juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Lawrence
Masha ( wa pili kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji
kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Yanga Makaga, iliyotolewa
na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana ya Shule ya Sekondari
Nyamatongo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema,
Yanga Makaga (kulia), akishikana mikono na Mbunge Mstaafu wa Geita, Dk
Fortunatus Masha (kushoto), katika hafla ambayo Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga
Cement, Lawrence Masha (katikati), alikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji
yenye thamani ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana ya
Shule ya Sekondari Nyamatongo iliyopo wilayani Sengerema, Mwanza hivi karibuni.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni
ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto) akizungamza katika hafla ambayo
kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani
ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya
Sekondari Nyamatongo wilayani Sengerema mkoani Mwanza juzi.
Meneja Mauzo Taifa wa Kampuni ya Tanga Cement,
Leslie Massawe (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo kampuni hiyo
ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs
milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya Sekondari
Nyamatongo wilayani Sengeremea mkoani Mwanza juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Tanga Cement,
Lawrence Masha (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo kampuni hiyo
ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs
milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya Sekondari
Nyamatongo wilayani Sengerema mkoani Mwanza juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Tanga Cement,
Lawrence Masha (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na
Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Enock Ndekeja katika hafla ambayo
kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs
milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya Sekondari
Nyamatongo jijini Mwanza juzi. Katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya
ya Sengerema,Yanga Makaga. Halfa hiyo ilifanyika shuleni hapo, Wilaya ya Sengerema
mkoani Mwanza juzi.
No comments