Vijana wachangamkia fursa kupitia Program ya Wajibika ya Benki ya NBC
Mmoja
ya waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kushoto), akizungumza na baadhi ya vijana na
wanafunzi katika viwanja Leaders, Dar es Salaam juzi kuhusu Programu ya Wajibika yenye
lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja ya
waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Debora Maboya (kulia), akizungumza na baadhi ya vijana katika
viwanja Escape One, jijini Dar es Salaam kuhusu Programu ya Wajibika yenye
lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja ya waratibu wa
programu ya Wajibika ya Benki ya NBC,
Michael Mwangoka (kulia), akizungumza na baadhi ya vijana katika viwanja
Leaders, Dar es Salaam kuhusu Programu ya Wajibika. Program
ya Wajibika ya NBC yenye lengo la kuwawezesha
vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kuingia katika soko la
ajira rasmi na binafsi ilizinduliwa Julai 8 mwaka jana.
Mmoja
ya waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Imani Sinkonde (kushoto), akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa
njia ya mtandao na program ya Wajibika ya Benki ya NBC kupitia tovuti ya benki
hiyo kwa baadhi ya vijana katika viwanja vya Escape One, Dar es Salaam.
Programu ya Wajibika ina
lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
No comments