RAIS DKT.MAGUFULI NA RAIS MUSEVEN WA UGANDA WAWEKA JIWE LA MSINGI LA BOMBA LA MAFUTA GHAFI,WAFUNGUA KITUO CHA PAMOJA CHA HUDUMA ZA MPAKANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda
Mhe.Yoweri Kaguta Museveni wakiwa wamesimama wakati wa nyimbo za Taifa za nchi
zao pamoja na wa Jamhuri ya Afrika Mashariki zikipigwa kabla ya kuanza kwa
sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la mafuta Ghafi la Afrika
Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua kituo cha pamoja
cha huduma za mpakani (One Stop Border Post-OSBP) Mutukula Nchini Uganda Novemba
9,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimtambulisha wajumbe alioongozana nao kwa
mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe.Yoweri Yaguta Museveni kabla ya
kuanza kwa sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi wa bomba la mafuta Ghafi
la Afrika Mashariki (EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua kituo
cha pamoja cha huduma za mpakani (One Stop Border Post-OSBP) Mutukula Nchini
Uganda Novemba 9,2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni
na wake zao wakifurahi pamoja baada ya
kuweka jiwe la msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki
(EACOP) katika kijiji cha Luzinga pamoja na kuzindua kituo cha pamoja cha
huduma za mpakani (One Stop Border Post-OSBP) Mutukula Nchini Uganda Novemba
9,2017.
No comments