MSHINDI WA GARI LA MAGIFTI YA KUGIFTI , AFIKISHIWA GARI LAKE NYUMBANI KWAKE MANYARA
.
Ibrahim Njeja, mkulima kutoka Manyara , mkewe na mtoto wakekatika picha ya pamoja baada ya kupokea gari aina ya Kia Seltos aliloshinda katika kampeni ya "Magift ya Kugift" huko Msitu wa Tembo, Manyara.
Na Mwandishi Wetu.
Kampuni namba moja nchini ya utoaji wa Huduma za Mawasiliano Nchini , Yas Tanzania imemkabidhi gari rasmi kwa mshindi , wa Kampeni ya Magifti ya Kugifti Bw. Ibrahimu kutoka Manyara , Ibrahim alishinda gari hilo wa kufanya miamala mbalimbali kama vile kununua Vifurushi , kulipia Umeme, LUKU n.k kupitia Mixx by Yas ( zamani Tigo Pesa ).
Chini ni matukio katika picha jinsi Kampuni ya YAS ilivyosafirisha gari hilo kutoka Dar Es Salaam hadi nyumbani kwa Mshindi - Manyara na jinsi wana Manyara walivyoupokea ushindi huo
No comments