Breaking News

HUYU HAPA MSHINDI WA MILIONI 5 KUTOKA YAS , WIKI YA 12

 > MIXX by Yas ( Zamani Tigo Pesa ) imetoa zaidi ya Milioni 500 kwa Wateja wao zaidi ya 600 katika kipindi cha Kampeni hii ya MAGIFTI YA KUGIFTI ambapo washindi walikua wakipatikana kwa kufanya Miamala na Mixx by Yas.

Na Mwandishi Wetu.

Feb 3 2025,  Kampuni ya YAS imekabidhi zawadi kwa washindi 4 wa Kampeni ya  “Magift ya kugift” kwenye Droo ya wiki ya 12 ambapo kati ya hao mmoja akijishindia mil 5.

                                    

Akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi hizo kwa washindi Meneja wa Bidhaa kutoka Kampuni ya Yas, Bi Marry Rutha, amewapongeza washindi hao huku akiwataka Watanzania wengine kuendelea kutumia huduma za kampuni yao kwani huenda wakaibuka washindi.
                             

Rutha amesema mpaka sasa wameshatoa zawadi za fedha zenye thamani ya kiasi cha TSh milion 550, kwa washindi wa makundi tofauti ikiwemo,mawakala,na wateja wengine.
                          

Kwa upande wake mshindi wa wiki hii WA mil 5, Kelvin Joseph Mlacha akiwakilisha wenziwe 3 waliojinyakulia mil 1 kila mmoja “amemshukuru Yas kwa kuchezesha kampeni hiyo ya “MAGIFT ya KUGIFT 2025” na hatimaye yeye kuibuka mshindi, na amewaomba watanzania kushiriki kampeni zinazoletwa na Yas Tanzania kwani hakuna ubabaisha kila mtu anashinda kutokana na Bahati yake amesema Mlacha.Kampuni ya YAS imekuwa na muendelezo mzuri wa kuendesha kampeni mbalimbali ikiwa sehemu ya kujitangaza itakumbukwa kuwa kampuni ya YAS ilizinduliwa hivi karibuni ikichuka pahala la Tigo ambayo imedumu kwa kipindi cha miaka 30 ikitoa huduma zake hapa nchini, na kutunukiwa Tuzo mbali mbali ndani na Nje ya nchi, ikiwemo Tuzo ya mtandao wenye kasi zaidi Barani Africa inayotolewa na OOKLA.


Hii ni wiki ya 12 kati ya wiki 13 ambazo Yas kupitia kitengo cha Mixx by Yas imeendelea kutoa zawadi Zaidi kupitia kampeni Yao ya “Magift ya kugift” kwa wateja wao kwa msimu wa mwaka 2024-25.Aidha Rutha amesema mpaka sasa wameshatoa zawadi za fedha zenye thamani ya kiasi cha TSh milion 550 kwa washindi wa makundi tofauti ikiwemo,mawakala,na wateja wengine.

Kwa upande wake mshindi wa wiki hii akiwakilisha wenziwe Mary Maros Iseke ambaye amejinyakulia kiasi cha Shilingi mil 1 “ameishukuru Yas kwa kuchezesha kampeni hiyo ya “MAGIFT ya KUGIFT 2025” na hatimaye yeye kuibuka mshindi, na amewaomba watanzania kushiriki kampeni zinazoletwa na Yas Tanzania kwani hakuna ubabaisha kila mtu anashinda kutokana na BAHATI yake amesema Marry.

Kampuni ya Yas imekuwa na muendelezo mzuri wa kuendesha kampeni mbalimbali ikiwa sehemu ya kujitangaza Zaidi kwa wateja wake.

Hii ni droo ya wiki ya 12 mfulululizo kati kati ya wiki 13 ambazo Yas kupitia msimu huu wa siku kuu, ikishirikiana na kitengo cha Mixx by Yas, imeendelea kutoa zawadi zaidi kupitia kampeni yao ya “Magift ya kugift” kwa wateja wao kwa mwaka huu wa 2025.




 

No comments