TBS YAWATAKA WAZALISHAJI WA MATOFALI, MAKARAVATI NA WAMILIKI WA GEREJI KUZINGATIA UBORA WA VIWANGO
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Athuman Ngenya akifungua Mafunzo ya Uhamasishaji kwa Watengenezaji wa Matofali, Makaravati na Wamiliki wa Gereji za Magari kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani yaliyofanyika leo Machi 9,2023 katika Ofisi za TBS Kanda ya Mashariki Jengo la PSSF Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Athuman Ngenya akizungumza wakati akifungua Mafunzo ya Uhamasishaji kwa Watengenezaji wa Matofali, Makaravati na Wamiliki wa Gereji za Magari kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani yaliyofanyika leo Machi 9,2023 katika Ofisi za TBS Kanda ya Mashariki Jengo la PSSF Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Athuman Ngenya akisisitiza jambo wakati akifungua Mafunzo ya Uhamasishaji kwa Watengenezaji wa Matofali, Makaravati na Wamiliki wa Gereji za Magari kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani yaliyofanyika leo Machi 9,2023 katika Ofisi za TBS Kanda ya Mashariki Jengo la PSSF Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Athuman Ngenya akipata picha ya pamoja na watumishi wa TBS Kanda ya Mashariki wakati ufunguzi wa Mafunzo ya Uhamasishaji kwa Watengenezaji wa Matofali, Makaravati na Wamiliki wa Gereji za Magari kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani yaliyofanyika leo Machi 9,2023 katika Ofisi za TBS Kanda ya Mashariki Jengo la PSSF Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt. Athuman Ngenya akipata picha ya pamoja na Watengenezaji wa Matofali, Makaravati na Wamiliki wa Gereji za Magari kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani wakati akifungua Mafunzo ya wadau hao yaliyofanyika leo Machi 9,2023 katika Ofisi za TBS Kanda ya Mashariki Jengo la PSSF Jijini Dar es Salaam



No comments