Breaking News

WAZIRI WA UTALII ZANZIBAR AWAPA NENO TIGO , TAMASHA KUBWA LA UTALII AFRIKA MASHARIKI 2024

                      

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (katikati) akimuelezea jambo, Kaimu Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Bw. Daniel Mainoya, jinsi Tigo na SMZ wanaweza kushirikiana kukuza utalii, katika banda la Tigo, lililopo Viwanja vya Magereza Kisongo - Arusha Tamasha kubwa la Utalii Afrika Mashariki Kili Fair 2024.


.



No comments