Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred (kushoto), akizungumza na Waandishi wa Habari wakati akitangaza kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa 13 wa Mwaka wa Korosho unaotarajiwa kufanyika kuanzia Novemba 7-9 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Wengine pichani (katikati), ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea, Dk. Steven Ngairo, aliyemwakilisha Waziri wa Kilimo pamoja na Mkurugenzi Mkuu Shirikisho la Wadau wa Korosho Afrika, Dk. Ernest Mintah. |
No comments