WAITARA ATAMBULISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA KWA TIKETI YA CCM JIMBONI
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita
Waitara (kushoto) akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata
na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa
Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili
katika kikao cha ndani cha Chama hicho chenye ajenda ya Kumtambulisha Rasmi kuwa ni
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo.Kikao
hicho kimehusisha Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya
Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa
waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka katika kata za Zingiziwa,Buyuni
na Chanika ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya
ya Ilala, Ubaya Chuma (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga,
Mwita Waitara kwa Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya
Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa
waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Zingiziwa, Buyuni
na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika
katika kata ya Chanika jijini Dar es Salaam leo.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Ukonga kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara akizungumza
na Viongozi
wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani
na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
waliopo katika kata za Zingiziwa,Buyuni na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga
wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Chanika jijini Dar es
Salaam leo.
Mgombea
Udiwani kata ya Zingiziwa kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Husein
Togolo akizungumza na Viongozi
wa Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani
na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
waliopo katika kata za Zingiziwa,Buyuni na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga
wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Chanika jijini Dar es
Salaam leo.
Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri
kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani na
Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo
katika kata za Zingiziwa, Buyuni na Chanika ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakisililza kwa makini wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Chanika jijini Dar es Salaam leo.
Mgombea
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa
Halmashauri kuu ya kata na matawi, Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi, Madiwani
na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es Salaam
leo kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Pugu,Pugu Stesheni na Majohe
ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la
Ukonga, Yahya Matumbo akizungumza na Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na
matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali
za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa kikao Utambulisho
wa Viongozi waliohudhuria katika kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya
Pugu jijini Dar es Salaam leo.
Mjumbe
wa Kamati ya Siasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Fatuma Lomo
akizungumza katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya
Pugu, Bilungo Bilungo akizungumza katika kikao hicho.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya
ya Ilala, Ubaya Chuma nae alizungumza katika hafla hiyo juu ya kumtambulisha
Waitara kuwa Mgombea wa Ubunge jimbo la Ukonga pamoja na kuwaomba Viongozi wa
Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani
na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kushirikiana na mgombea huyo katika Kampeni.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (kulia)
akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara kwa Viongozi wa
Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani
na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
waliopo katika kata za Pugu,Pugu Stesheni na Majohe ambazo zipo Jimbo la Ukonga
wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Pugu jijini Dar es
Salaam leo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara akizungumza na Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Pugu,Pugu Stesheni na Majohe ambazo zipo Jimbo la Ukonga wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Pugu jijini Dar es Salaam leo.
Mgombea
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (kushoto) akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa
Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani
na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es Salaam
leo kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Ukonga,Gongo la Mboto na Kipunguni ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (kushoto) akikata utepe kuashiria kukaribishwa katika kikao cha ndani cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.Katikati ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma.
Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es Salaam leo kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Ukonga,Gongo la Mboto na Kipunguni ambazo zipo katika Jimbo la Ukonga.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya
ya Ilala, Ubaya Chuma (kushoto),Mgombea Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita
Waitara, Katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala, Sophia Hamady na Mjumbe Kamati ya Siasa
Wilaya ya Ilala, Fatuma Lomo wakiimba wakati wa kikao cha ndani cha
kumtambulisha mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Mwita Waitara kwa Viongozi
wa Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na
matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha
Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam
leo.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la
Ukonga, Yahya Matumbo akizungumza na Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na
matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali
za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akifanya Utambulisho
wa Viongozi waliohudhuria katika kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo
Katibu wa Wazazi Wilaya ya Ilala, Sophia Hamady akizungumza katika hafla hiyo
Mjumbe Kamati ya Siasa Wilaya ya Ilala, Fatuma Lomo akizungumza katika hafla hiyo
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Kipako akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya Viongozi wa
Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na
matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha
Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Kipunguni,Ukonga na Gongo la Mboto wakiimba wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika
katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma nae alizungumza katika
Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala, Ubaya Chuma (kushoto) akimtambulisha
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara kwa Viongozi wa Halmashauri kuu
ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti
wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Kipunguni,Ukonga na Gongo la Mboto wakati wa
kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa Tiketi ya
Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara akizungumza na Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na
matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali
za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo katika kata za Kipunguni,Ukonga na Gongo wakati wa kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini
Dar es Salaam leo.
Diwani wa kata ya Kipunguni, Mohamed Msiphe akizungumza katika hafla hiyo.
Mgombea Mbunge wa
Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara akipeana mikono na Baadhi ya Viongozi wa
Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na
matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi
(CCM) baada ya kuwasili katika kikao cha ndani kilichofanyika jijini Dar es
Salaam leo kilichohusisha Viongozi hao katika kata za Ukonga,Gongo la Mboto na
Kipunguni .
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara (mstari wa nyuma watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Halmashauri kuu ya kata na matawi,Mabaraza ya Jumuiya ya kata na matawi,Madiwani na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumaliza kikao cha ndani kilichofanyika katika kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo.
No comments