Hizi ndio timu zilizoshushwa daraja na TFF

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura hii leo Mei 09, 2018 wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari na kuzitaja klabu hizo kuwa ni Namungo FC ya Lindi, Pepsi FC ya Dar es Salaam, na Boma FC ya Kyela, Mbeya.
Kwa upande mwingine, Wambura amezitaja na kuzipongeza klabu sita zilizoweza kupanda daraja moja kwenda jingine ambazo ni JKT Tanzania FC ya Dar es Salaam, African Lyon ya Dar es Salaam, Kinondoni Municipal Council FC ya Dar es Salaam, Coastal Union ya Tanga, Biashara United FC ya Musoma pamoja na Alliance Schools FC ya Mwanza.
Hizi ndio timu zilizoshushwa daraja na TFF
Reviewed by Ally Hamis
on
11:29
Rating: 5

Post Comment
No comments