Tanga Cement yaendelea na udhamini wake Kilimanjaro Marathon
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi.
Mtanga Noor (kulia), akigawa maji kwa mmoja wa wakimbiaji wa mbio za
Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi hivi karibuni. Kampuni ya Tanga
Cement ilitumia zaidi ya shs milioni 30 kudhamini vituo vya maji na kupoozea
wakimbiaji pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki mbio hizo.
Ofisa Mawasiliano wa Tanga Cement, Hellen Maleko (kulia) akimpooza kwa maji
mmoja wakimbiaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi hivi
karibuni. Kampuni ya Tanga Cement ilitumia zaidi ya shs milioni 30 kudhamini
vituo vya maji na kupoozea wakimbiaji pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake
kushiriki mbio hizo.
Baadhi ya wakimbiaji wa mbio
za Kilimanjaro Marathon wakipita katika kituo cha maji cha Kampuni ya Tanga
Cement wakati wa mashindano ya mwaka huu mjini Moshi, Kilimanjaro hivi
karibuni.
Mmoja wa wafanyakazi wa Tanga
Cement aliyeshiriki mbio hizo naye akipata maji kupooza koo wakati wa
mashindano hayo mjini Moshi hivi karibuni.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Taga
Cement akimpa maji mmoja wa wakimbiaji wa mbio hizo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro hivi karibuni.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa
Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga Noor (kushoto), akigawa maji na
viburudisho vingine kwa baadhi ya wakimbiaji wa mbio za Kilimanjaro Marathon
zilizofanyika mjini Moshi hivi karibuni. Kampuni ya Tanga Cement ilitumia zaidi
ya shs milioni 30 kudhamini vituo vya maji na kupoozea wakimbiaji pamoja na
baadhi ya wafanyakazi wake kushiriki mbio hizo.
No comments