Breaking News

LeMaChU YAWAFUTA MACHOZI WAJANE NA WATOTO WENYE UHITAJI MAALUM






Diwani wa Kata ya Sandali, Bw. Christopher Kabalika ( wa tatu Kulia) akikabidhi msaada wa mlo wa sikukuu ya Eid Al Fitri (zakaatul fitri) kwa baadhi ya wajane na wanawake wanaolea watoto waliokwenye makundi maalum uliotolewa na Jukwaa Huru La Kidigitali la Lete Mabadiliko Chanya Sehemu ulipo (LeMaChU) jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni Katibu Taifa LeMaChU, Bi. Vaileti Mwazembe na Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Nyamara Elisha.


Katibu Taifa Jukwaa Huru La Kidigitali la Lete Mabadiliko Chanya Sehemu ulipo (LeMaChU), Bi. Vaileti Mwazembe akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa mlo wa sikukuu ya Eid Al Fitri (zakaatul fitri) kwa wajane na wanawake wanaolea watoto waliokwenye makundi maalum jijini Dar es Salaam leo.Ni mwendelezo wa jukwaa hili kusaidia jamii kwa kuondoa migogoro, kupinga ukatili wa kijinsia na kuwasaidia wanawake.



Diwani wa Kata ya Sandali, Bw. Christopher Kabalika akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa mlo wa sikukuu ya Eid Al Fitri (zakaatul fitri) kwa wajane na wanawake wanaolea watoto waliokwenye makundi maalum uliotolewa na Jukwaa Huru La Kidigitali la Lete Mabadiliko Chanya Sehemu ulipo (LeMaChU).  jijini Dar es Salaam leo.


Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Nyamara Elisha akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa mlo wa sikukuu ya Eid Al Fitri (zakaatul fitri) kwa wajane na wanawake wanaolea watoto waliokwenye makundi maalum uliotolewa na Jukwaa Huru La Kidigitali la Lete Mabadiliko Chanya Sehemu ulipo (LeMaChU).  jijini Dar es Salaam leo.


Mwenyekiti Mkoa Jukwaa Huru La Kidigitali la Lete Mabadiliko Chanya Sehemu ulipo (LeMaChU), Bw. Edwin Rumboyo akitoa neno la shukrani baada ya kukabidhi msaada wa mlo wa sikukuu ya Eid Al Fitri (zakaatul fitri) kwa wajane na wanawake wanaolea watoto waliokwenye makundi maalum jijini Dar es Salaam leo.


No comments