TAASISI YA OMTO YAZINDUA KITUO KIPYA NYEBURU
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali
ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akifurahi pamoja na
wanachama wa kikundi cha kijamii cha huduma ndogo za fedha cha Stara wakati wa
uzinduzi wa kituo cha kikundi hicho jijini Dar es Salaam leo.
Diwani
Kata ya Buyuni, Athumani Maembe Ally ( wa pili kulia) akizungumza na
wajasiriamali jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya kuzindua Kituo cha kikundi
cha kijamii cha huduma ndogo za fedha cha Stara kilichopo chini ya Taasisi ya
Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), uliofanyika
jijini Dar es Salaam leo.
Diwani
Kata ya Buyuni, Athumani Maembe Ally ( wa pili kulia) akiongozana na wanachama
wa kikundi cha kijamii
cha huduma ndogo za fedha cha Stara kuelekea katika uzinduzi wa kituo cha kikundi
hicho kilichofikia wanachama 96, pamoja na kukabidhi kadi za benki kwa kila
mwanachama wa kikundi hicho jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa
Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization
(OMTO), Anna Haule.
Mkurugenzi wa Buta Vicoba, Semeni Gama akitoa
elimu ya ujasiriamali wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha kikundi cha kijamii
cha huduma ndogo za fedha cha Stara kilichopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji
Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), uliofanyika jijini
Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali
ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule akiwatambulisha
baadhi ya viongozi wa kikundi cha Stara wakati wa hafla
ya kuzindua Kituo cha
kikundi hicho jijini leo.
Diwani
Kata ya Buyuni, Athumani Maembe Ally ( kushoto) akikabidhi kadi ya benki ya
Equity kwa Mwenyekiti
wa Kikundi cha Vicoba cha Stara, Mohamedi Mwanangoto wakati wa hafla ya kuzindua Kituo cha kikundi hicho jijini leo. Wa pili
kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nyeburu, Hamisi Gea.
Diwani
Kata ya Buyuni, Athumani Maembe Ally ( kushoto) akikabidhi kadi ya benki ya
Equity kwa Mtunza
Nidhamu wa Kikundi cha Vicoba cha Stara, Hamadi Nyanje wakati wa hafla ya kuzindua Kituo cha kikundi hicho jijini leo. Wa pili
kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nyeburu, Hamisi Gea.
Diwani
Kata ya Buyuni, Athumani Maembe Ally ( kushoto) akilishwa keki na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna
Haule kuzindua kituo cha kikundi cha kijamii cha huduma
ndogo za fedha cha Stara kilichopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali
ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), uliofanyika jijini Dar es Salaam
leo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nyeburu,
Hamisi Gea akilishwa keki na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna
Haule kuzindua kituo cha kikundi cha kijamii cha huduma
ndogo za fedha cha Stara kilichopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali
ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), uliofanyika jijini Dar es Salaam
leo.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali
ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( katikati) akimlisha
keki Mweka Hazina wa Kikundi cha Vicoba cha Stara, Mwanaidi Ngasho wakati wa hafla
ya kuzindua Kituo cha
kikundi hicho jijini leo.
Diwani
Kata ya Buyuni, Athumani Maembe Ally ( wa pili kulia), Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali
ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule, Mwenyekiti wa
Serikali ya Mtaa wa Nyeburu, Hamisi Gea na Mwenyekiti wa Kikundi cha Vicoba cha
Stara, Mohamedi Mwanangoto wakipiga picha ya kumbukumbu na wajasiriamali baada
ya kuzindua kituo cha kikundi cha kijamii cha huduma ndogo za fedha cha Stara
kilichopo chini ya Taasisi ya OMTO uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Post Comment
No comments