Breaking News

WAITARA ARUDI KWA KASI JIMBONI

Mbunge wa Jimbo la Ukonga pia ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, Mwita Waitara akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo katika ziara yake ya kutoa shukrani baada ya kuchaguliwa Ubunge pamoja na kutoa mirejesho ya kero ambazo zinasumbua katika kata hiyo.





Mbunge wa Jimbo la Ukonga pia ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, Mwita Waitara akizungumza na wakazi wa kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam leo wakati wa Ziara yake ya kutoa shukrani baada ya kumchagua kuwa Mbunge wa jimbo hilo pamoja na kupata uteuzi wa Unaibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi.Ni ziara yake ya pili ya Waitara tangu ulipochaguliwa Ubunge

Baadhi ya wakazi wa kaat ya Kipunguni wakimsikiliza kwa makini Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara baada ya kuwasili katika kata hiyo kutoa shukrani jijini Dar es Salaam leo. 

Diwani Kata ya Kipunguni, Mohamed Msophe (wapili kulia) akizungumza katika hafla hiyo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ubaya Chuma (kushoto) akizungumza na wakazi wa kata ya Kipunguni juu ya ushirikiano walipata kutoka kwa wakazi wa kata hiyo pamoja na kuwakaribisha wanachama wapya waliohama kutoka chama pinzani.

Mbunge wa Jimbo la Ukonga pia ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi, Mwita Waitara (kushoto) akimkaribisha mmoja wa wanachama wa Chama pinzani kuhamia katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam leo.

No comments