MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AZUNGUMZA NA WADAU WA AFYA,MAZINGIRA NA MIFUGO JIJINI LEO
Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni,Ally Hapi (wapili kushoto) akizungumza na waandishi wa
habari pamoja na wadau wa sekta mbalimbali(hawapo
pichani) jijini Dar es Salaam leo katika
Mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na wadau wa afya,mazingira na mifugo uliokuwa na
dhumuni la kusisitiza na kuboresha maswala ya usafi kwa watendaji wa kata na Mitaa kwa ujumla.Wa
kwanza kushoto ni Mganga Mkuu wa wilaya Dk. Festo Dugange na wapili kulia ni
Katibu Tawala,Gift Isaya na Katibu wa wazazi
wa Wilaya ya Kinondoni,Ibrahimu Mpwapwa.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni,Gift Isaya
(kulia) akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta mbalimbali(hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo katika Mkutano wa
Mkuu wa Wilaya na wadau wa afya,mazingira na mifugo uliokuwa na dhumuni la
kusisitiza na kuboresha maswala ya usafi kwa watendaji wa kata. Wapili kulia ni
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Ally Hapi, Mganga Mkuu wa wilaya Dk. Festo Dugange
na Mkuu wa Idara ya Usafi na Hifadhi ya Mazingira,Abillu Peter.
Mganga Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni Dk. Festo Dugange akizungumza na waandishi wa habari
pamoja na wadau wa sekta mbalimbali(hawapo
pichani) jijini Dar es Salaam leo katika
Mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na wadau wa afya,mazingira na mifugo uliokuwa
na dhumuni la kusisitiza na kuboresha maswala ya usafi kwa watendaji wa kata
pamoja na kujua changamoto za usafi kwenye mitaa.
Baadhi ya wadau wa sekta mbalimbali wakisikiliza kwa makini mada zitolewazo na viongozi wao katika Mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na wadau wa afya,mazingira na mifugo jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa Makongo juu,Obasi Ndelwa akiuliza swali katika katika Mkutano
wa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na wadau wa afya,mazingira na mifugo jijini Dar
es Salaam leo.
No comments