Breaking News

WAKAZI WA DAR KUPIMA AFYA BURE KWA SIKU TANO

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akigawa maji kwa wananchi  waliojitokeza kwenye upimaji wa afya bure, katika siku ya kwanza ya upimaji huo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo. Zoezi hilo litaendelea kwa muda wa siku tano mfululizo.


Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wakijitokeza katika upimaji wa  Afya Bure katika viwanja vya mnazi mmoja jijini leo.Upimaji huo unafanyika kwa siku tano mfululizo.

No comments