Katapila la Kampuni ya Ujenzi ya Singhs & Sons likichonga barabara kutokea Kitunda mpaka kivule jijini Dar Es Salaam leo. Baadhi ya vijana wakiponda mawe kusaidia ujenzi wa barabara ya kutokea Kitunda mpaka kivule jijini Dar Es Salaam leo.
No comments