MWEYEKITI MTENDAJI WA AISHA SURURU FOUNDATION AWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA KIISLAMU YA SHULE YA SEKONDARI KITUNDA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwanaharakati
wa Kijamii,Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation,Bi Aisha Sururu (mgeni
rasmi) akizungumza na wazazi pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kitunda (hawapo pichani) katika
sherehe ya mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne wa kiislamu yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es
Salaam leo.
Mwanafunzi
wa Shule ya Sekondari Kitunda,Tausi Issa(kulia) akimkabidhi risala Mwanaharakati
wa Kijamii,Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation,Bi Aisha Sururu (mgeni
rasmi) katika sherehe ya mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa kidato cha nne wa kiislamu yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es
Salaam leo.Katikati ni Jaji Kiongozi wa Mashindano ya Qur an yanayosimamiwa na
Aisha Sururu Foundation,Abdallah Mohamed.
Mwanaharakati
wa Kijamii,Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation,Bi Aisha Sururu
(kulia) akikabidhi vyeti kwa baadhi ya wahitimu wakiislmu wa kidato cha nne wa Shule
ya Sekondari Kitunda jijini Dar es Salaam leo.
Mlezi wa
Vijana wa kiislamu Tanzania wa Taasisi ya Tamsia,Mikidadi Khalfani akizungumza
na wazazi pamoja na wanafunzi wa Shule
ya Sekondari Kitunda (hawapo pichani) katika sherehe ya mahafali ya kuwaaga
wanafunzi wa kidato cha nne wa kiislamu
yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Imamu
wa Msikiti wa Ihsaan Kitunda,Salim Chanzi (kulia) akizungumza na wazazi pamoja
na wanafunzi wa Shule ya Sekondari
Kitunda (hawapo pichani) katika sherehe ya mahafali ya kuwaaga wanafunzi wa kidato
cha nne wa kiislamu yaliyofanyika
shuleni hapo jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya
wahitimu wa kidato cha nne wa kiislamu wakisikliza
kwa makini mada zitolewazo na walimu wao pamoja na Mgeni rasmi Mwanaharakati wa
Kijamii,Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation,Bi Aisha Sururu (hawapo
pichani) katika sherehe ya mahafali ya kuwaaga wanafunzi hao yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya
Sekondari Kitunda jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Imamu
wa Msikiti wa Ihsaan Kitunda,Salim Chanzi (katikati) akikabidhi vyeti kwa
baadhi ya wahitimu wakiislmu wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Kitunda
jijini Dar es Salaam leo.
Mwanaharakati
wa Kijamii,Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Foundation,Bi Aisha Sururu
akiwakatika picha ya pamoja na wahitimu wa kiislamu wa kidato cha nne wa Shule
ya Sekondari Kitunda.
No comments