BENKI YA ABSA TANZANIA YATAMBULIWA KWA DHAMIRA YAKE THABITI YA KUWAWEZESHA WANAWAKE NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benkiy a Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (wa sita kushoto), akionesha tuzo ya ‘Rising Women’ mara baada ya kukabidhiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (wa tano kushoto), jijini Dar es Salaam jana. Benki hiyo ilitambuliwa kwa dhamira yake thabiti ya kuwawezesha wanawake, kuendeleza ujumuishaji wa kifedha na kuunda fursa zenye maana kwa uwakilishi wa wanawake katika nafasi za uongozi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akikabidhi tuzo ya ‘Rising Women’ kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bww. Obedi Laiser (wa pili kulia), jijini Dar es Salaam jana. Benki hiyo ilitambuliwa kwa dhamira yake thabiti ya kuwawezesha wanawake, kuendeleza ujumuishaji wa kifedha na kuunda fursa zenye maana kwa uwakilishi wa wanawake katika nafasi za uongozi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akikabidhi tuzo ya shukrani kwa Meneja Huduma za Jamii na Mtukio wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi (kulia), kwa kutambua mchango wa benki hiyo katika Mpango wa Rising Women. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Benki hiyo ilitambuliwa kwa dhamira yake thabiti ya kuwawezesha wanawake, kuendeleza ujumuishaji wa kifedha na kuunda fursa zenye maana kwa uwakilishi wa wanawake katika nafasi za uongozi.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Bw. Obedi Laiser (wa nne kushoto), na Meneja Huduma za Jamii na Matukio wa wa benki hiyo, Bi. Abigail Lukuvi (wa tatu kulia), pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Absa, wakipozi na tuzo za utambuzi za ‘Rising Women’ jijini Dar es Salaam jana. Benki hiyo ilitambuliwa kwa dhamira yake thabiti ya kuwawezesha wanawake, kuendeleza ujumuishaji wa kifedha na kuunda fursa zenye maana kwa uwakilishi wa wanawake katika nafasi za uongozi.



No comments