WANACHAMA WA OMTO WASAINI FOMU KUPATA MITAJI YA IMBEJU
=Mkurugenzi
wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization
(OMTO), Anna Haule ( wa pili kushoto), Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB,
Vanessa Ng`wigulu ( kushoto ), Mwenyekiti wa kikundi cha Kipaji Changu,
Anastazia Mateo ( wa pili kulia ) na Katibu wa Wanawake wa OMTO, Kandida Makubi
wakionyesha fomu za kujaza kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake
wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa
vikundi vilivyopo chini ya taasisi hiyo jijini Dar es Salaama leo. Watakaojaza
fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi
milioni 5.
Ofisa Maendeleo Kata ya
Kitunda, Betty Mzava akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao
cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji
Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la
kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake
wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu
hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.
Meneja Mahusiano wa
Benki ya CRDB, Vanessa Ng`wigulu akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa
kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya
Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye
lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya
wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza
fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi
milioni 5.
Mkurugenzi wa Taasisi ya
Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna
Haule akitambulisha baadhi ya walimu wa vikundi vilivyopo chini ya taasisi
hiyo jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha ndani cha viongozi wa vikundi
vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and
Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la kupanga mikakati ya kujaza fomu
kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake wajasiriamali na vijana ( IMBEJU)
jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu hizo watapata mitaji isiyokuwa na
riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.
Katibu wa
Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization
(OMTO), Eliwaza Joseph akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa kikao cha
ndani cha viongozi wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji
Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) chenye lengo la
kupanga mikakati ya kujaza fomu kuelekea kupata mitaji wezeshi ya wanawake
wajasiriamali na vijana ( IMBEJU) jijini Dar es Salaam leo. Watakaojaza fomu
hizo watapata mitaji isiyokuwa na riba kuanzia shilingi laki 2 hadi milioni 5.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization
(OMTO), Anna Haule ( kushoto) akimtambulisha Katibu wa Wanawake wa
taasisi hiyo, Kandida Makubi wakati wa kikao hicho jijini Dar es Salaam leo
Mweka Hazina wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Eugenia Shayo akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya viongozi
waalikwa wakizungumza katika hafla hiyo
Maofisa wa Benki ya
CRDB wakiendelea na zoezi la kufungua akaunti za IMBEJU jijini Dar es Salaam
leo kwa wanachama wa vikundi vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji
Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) .
Baadhi ya Viongozi wa vikundi
vilivyopo chini ya Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and
Thoughts Organization (OMTO) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Taasisi hiyo,
Anna Haule jijini Dar es Salaam leo.
No comments