Breaking News

TAASISI YA OMTO YAWAKUMBUKA WATOTO YATIMA NA WASIOJIWEZA KUADHIMISHA MIAKA 3 YA TAASISI HIYO.

Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri akikata utepe kuzindua mradi wa bodaboda wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Anna Haule ( kushoto ) na Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola (kulia) wakiwa katika maandamano na baadhi wa wanawake wajsiriamali wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto (katikati) akimkabidhi cheti cha shukrani Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola ( kulia) wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Anna Haule.


Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto akikabidhi msingi wa biashara kutoka kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kwa mmoja wa wazee wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Diwani wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto akikabidhi vifaa vya shule kutoka kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) kwa mmoja wa watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri akizungumza wakati wa wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Mwasisi wa Vicoba Endelevu, Devotha Likokola ( kulia) akizungumza wakati wa wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.]


Mwenyekiti wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO), Athumani Kigwe ( kulia ) na Mwanachama wa Taasisi hiyo, Twaha Sadiki ( waliopanda pikipiki)  wakijaribu pikipiki baada ya kukabidhiwa na taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.


Baadhi ya Wanachama wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts Organization (OMTO) wakimuaga Mwenyekiti wa Sauti ya Wanawake Tanzania, Maida Waziri wakati wa maadhimisho ya miaka 3 ya kuzaliwa kwa taasisi hiyo ( Omto Vicoba day) yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Kerezange jijini Dar es Salaam leo.












 

No comments