TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION YALETA NEEMA KWA WATOTO WA KITUNDA
Mwanzilishi
na Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji
vyao ya Green Kids and Youth Foundation, Vailet Samson Mwazembe akizungumza na wazazi pamoja
na watoto wa kata ya Kitunda katika Tamasha la Kutoa elimu ya kujitambua pamoja
na unyanyasaji wa kijinsia lililoandaliwa na taasisi hiyo katika uwanja wa
Kitunda Kerezange jijini Dar es Salaam leo. Taasisi hiyo yenye kauli mbiu ya ''
Malezi ya watoto na michezo vinaanzia katika jamii '' imetoa jezi za michezo
katika mashina 8 yaliyopo kata ya Kitunda ikiwa ni miongoni mwa kusapoti sekta
ya michezo nchini.
Mwanzilishi
na Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji
vyao ya Green Kids and Youth Foundation, Vailet Samson Mwazembe (Kushoto), Katibu Mtendaji wa
Taasisi hiyo, Lutgarda Mbuya, Afisa Ustawi wa Jamii Kitunda, Annatholia Wabike
na Mratibu wa Taasisi ya Msaada wa Kisheria Paralegal, Salum Kindokomile
wakikabidhi jezi kwa mashina 8 yaliyopo kata ya Kitunda katika Tamasha la Kutoa
elimu ya kujitambua pamoja na unyanyasaji wa kijinsia lililoandaliwa na taasisi
hiyo lililofanyika uwanja wa Kitunda Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
Katibu
Mtendaji wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya
Green Kids and Youth Foundation, Lutgarda Mbuya akizungumza na wazazi na watoto
wa kata ya Kitunda wakati wa Tamasha la Kutoa elimu ya kujitambua pamoja na unyanyasaji
wa kijinsia lililoandaliwa na taasisi hiyo katika uwanja wa Kitunda Kerezange
jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
wa Sauti ya Jamii wa kata ya Kitunda, Claudia Gabriel, akizungumza katika hafla
hiyo.
Mratibu
wa Taasisi ya Msaada wa Kisheria Paralegal, Salum Kindokomile akizungumza na wazazi
pamoja na watoto wa kata ya Kitunda jijini Dar es Salaam leo katika Tamasha la
Kutoa elimu ya kujitambua pamoja na unyanyasaji wa kijinsia lililoandaliwa na Taasisi
ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation.
Mwanzilishi
na Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji
vyao ya Green Kids and Youth Foundation, Vailet Samson Mwazembe, Katibu Mtendaji wa Taasisi
hiyo, Lutgarda Mbuya, Afisa Ustawi wa Jamii Kitunda, Annatholia Wabike na
Mratibu wa Taasisi ya Msaada wa Kisheria Paralegal, Salum Kindokomile na
Wajumbe wa Mashina 8 yaliyopo kata ya Kitunda wakipiga picha ya pamoja na
watoto waliopo kata hiyo baada ya kukabidhi jezi katika Tamasha la Kutoa elimu
ya kujitambua pamoja na unyanyasaji wa kijinsia lililoandaliwa na Taasisi hiyo lililofanyika
uwanja wa Kitunda Kerezange jijini Dar es Salaam leo.
HABARI KATIKA PICHA
No comments