WAKAZI WA UKONGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI MGOMBEA UBUNGE
Mgombea
Ubunge Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akizungumza na wakazi wa kata ya Mzinga
jijini Dar es Salaam leo wakati akienda kupata udhamini kwa wakazi wa kata hiyo
waliojiandikisha kupiga kura baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kupitia
Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mgombea
Ubunge Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (kulia) na Mgombea Udiwani kata ya Mzinga,
Job Isaack wakisalimiana na baadhi wakazi
wa kata ya Mzinga jijini Dar es Salaam leo wakati akienda kupata udhamini kwa wakazi
wa kata hiyo waliojiandikisha kupiga kura baada ya kuchukua fomu ya kugombea
ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mgombea
Ubunge Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (katikati) na akisalimiana na mmoja wa wazee
wa kata ya Mzinga jijini Dar es Salaam leo wakati akienda kupata udhamini kwa wakazi
wa kata hiyo waliojiandikisha kupiga kura baada ya kuchukua fomu ya kugombea
ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya
Mtaa wa Mzinga, Nyaikoba Ryoba.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (aliyevaa shati la kijani) na Mgombea
Udiwani kata ya Mzinga, Job Isaack wakila chakula katika Mgahawa unaomilikiwa na Wajasiriamali wa kata ya Mzinga baada ya kuwasili katika kata hiyo jijini Dar
es Salaam leo kupata udhamini wa fomu ya Ubunge kwa wakazi waliojiandikisha
kupiga kura.
Mgombea
Ubunge Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa akizungumza na akina Mama wajasiriamali wa
kata ya Mzinga jijini Dar es Salaam leo wakati akienda kupata udhamini kwa wakazi
wa kata hiyo waliojiandikisha kupiga kura baada ya kuchukua fomu ya kugombea
ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa wa Mzinga, Nyaikoba Ryoba (wa pili kushoto) akimtambulisha
Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga kwa wakazi wa kata ya Mzinga jijini Dar es
Salaam leo.
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mtaa wa Magole, Abduly Shabani Machungi (wa tatu kushoto) akitoa shukrani kwa wakazi wa kata ya Mzinga kwa kujitokeza kwa wingi kumdhamini Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa (aliyevaa shati la kijani).
HABARI KATIKA PICHA
No comments