NBC kuendelea kuwainua wanawake na vijana wajasiriamli kiuchumi
Mkurugenzi wa Bima wa Benki ya NBC, Benjamin Nkaka (kulia) akizungumza na baadhi ya washiriki wa warsha ya wanawake na vijana wajasiriamali kuhusu masuala ya uchumi iliyoandaliwa na kampuni ya GS1 na kudhaminiwa na Benki ya NBC jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare akisalimiana na Mkurugenzi wa Bima wa Benki ya NBC, Benjamin Nkaka (kushoto), wakati wa warsha ya wanawake na vijana wajasiriamali kuhusu masuala ya uchumi iliyoandaliwa na kampuni ya GS1 na kudhaminiwa na Benki ya NBC jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Bima wa Benki ya NBC, Benjamin Nkaka (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Heshima wa Zanzibar katika Shirikisho la Jamhuri ya Brazil, Abdulsamad Abdulrahim, wakati wa warsha ya wanawake na vijana wajasiriamali kuhusu masuala ya uchumi iliyoandaliwa na kampuni ya GS1 na kudhaminiwa na Benki ya NBC jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare.
Mkurugenzi wa Bima wa Benki ya NBC, Benjamin Nkaka (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GS1, Fatma Kange, wakati wa warsha ya wanawake na vijana wajasiriamali kuhusu masuala ya uchumi iliyoandaliwa na kampuni ya GS1 na kudhaminiwa na Benki ya NBC jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya wanawake wajasiriamali wakihudhuria warsha hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya GS1 na kudhaminiwa na NBC, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Baadhi ya washiriki waliohudhuria warsha hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya GS1 na kudhaminiwa na NBC, jijini Dar es Salaam hivi karibuni wakipewa maelezo kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na NBC ikiwemo akaunti ya wanawake ya Hakika na akaunti ya vikundi kutoka kwa maofisa wa NBC katika sehemu maalumu iliyoandaliwa na benki katika warsha hiyo ili kuwahudumia. Washiriki hao pia waliweza kufungua akaunti ya Fasta ya NBC mahali hapo na kupewa kadi ya Visa papo hapo.
No comments