WAKAZI WA CHANIKA WAPATA NEEMA
Rais wa Shirika la Misaada
la Korea Kusini KOICA Bi. Mi- Kyung Lee (kulia) akizungumza jambo na
akina mama waliopo katika hospitali ya uzazi na mtoto jijini Dar es Salaam jana
baada ya kuzindua hospitali hiyo iliyopo Chanika jimbo la Ukonga.Wapili kulia
ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda na Diwani wa kata ya Chanika
Ojambi Massaburi.
Rais wa Shirika la Misaada
la Korea Kusini KOICA Bi. Mi- Kyung Lee, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul
Makonda na Diwani wa kata ya Chanika Ojambi Massaburi pamoja na viongozi
wengine wakiongozana baada ya kufanya uzinduzi wa Hospitali ya Uzazi na mtoto
Chanika jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Paul Makonda (watano kushoto),Rais wa Shirika la Misaada la Korea
Kusini KOICA Bi. Mi- Kyung Lee,Diwani wa kata ya Chanika Ojambi
Massaburi pamoja na viongozi wengine wakishangilia katika picha ya pamoja baada
ya kuzindua hospitali ya Uzazi na Mtoto iliyopo Chanika jijini Dar es Salaam
jana.
No comments