TAASISI YA GREEN KIDS & YOUTH FOUNDATION KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited, Anita Waitara ( wa pili kushoto
) akikabidhi taulo za kike kwa baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari
Kitunda katika hafla kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu
kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation,
Vailet Samson
Mwazembe.
Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa
vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation,
Vailet Samson
akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari
Kitunda katika hafla kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited, Anita Waitara akizungumza na
wanafunzi wa shule ya sekondari Kitunda katika hafla kuadhimisha siku ya mtoto
wa kike duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mwalimu
wa Shule ya Sekondari Kitunda, Joyce Kasililika akitoa elimu ya kujitambua kwa wanafunzi
wa shule ya sekondari Kitunda katika hafla kuadhimisha siku ya mtoto wa kike
duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya sekondari Kitunda wakisikiliza kwa makini mada
zinazoendelea katika hafla kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Taasisi ya kutoa Elimu kwa
vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth Foundation,
Vailet Samson
Mwazembe akikabidhi taulo za kike kwa baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Kitunda katika hafla
kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam
jana.
Mratibu
wa Shirika la Msaada wa Kisheria ( ILAP ), Salum Kindokomile akitoa elimu
ya sheria kwa wanafunzi wa shule ya
sekondari Kitunda katika hafla kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana.
Afisa
Lishe wa Kampuni ya NUDEC, Mary Kibona akitoa elimu ya lishe wakati wa hedhi kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Kitunda
katika hafla kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika jijini Dar
es Salaam jana.
Diwani
wa Kata ya Kitunda, Victor Vedasto ( waliokaa kutoka kushoto), Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Gimero and Sons Limited, Anita Waitara na Mkurugenzi wa Taasisi ya
kutoa Elimu kwa vijana na watoto kutambua vipaji vyao ya Green Kids and Youth
Foundation, Vailet Samson
Mwazembe wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya
sekondari kitunda pamoja na viongozi wa chama cha mapinduzi baada ya
kuhitimisha hafla ya kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika
jijini Dar es Salaam jana.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kitunda wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa taulo za kike hafla ya kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
No comments