Breaking News



Naibu Mkuu wa Taaluma,Utafiti na Ushauri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),Immanuel Mnzava akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Madalali wa Bima Tanzania (TIBA) pamoja na wanafunzi wa chuo hicho katika hafla ya matembezi ya hisani ambayo yanatoa Elimu kwa watu juu ya Bima ya Maisha jijini Dar es Salaam juzi.

No comments