Katibu Mkuu wa jumuiya
na Taasisi za kiislamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda (katikati) akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana katika kutaarifu umma juu ya
tukio la uvamizi wa msikiti na kutekwa waumini wake lililofanyika wilaya ya
Kilwa Lindi.Kushoto ni Mjumbe kamati ya utendaji,Ramadhani Yusuf na kulia ni
Kamati ya Maimamu,Ramadhani Kusubi
No comments